Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome W. Makamba (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa mawaziri iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla wa uapisho wa mawaziri iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba akizindua kituo cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) cha kampuni ya Puma Energy kilichopo Bagamoyo road Septemba 24, 2025 jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki {EACOP} yaliyopo Chongoleani Tanga
Mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere umejengwa katika maporomoko ya mto Rufiji umekamilika na una uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 2,115.
Mitambo ya umeme wa Gesi Asilia, katika kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi kilichopo jijini Dar es Salaam.