Picha ya pamoja ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko na Wakuu wa Idara ya Wizara ya Nishati jijini Dodoma wakati akizindua Mkakati wa Muda Mrefu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wa miaka 25 (2024/2025 hadi 2049/2050)
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, akisoma maelezo yaliyoandikwa katika mashine umba zilizojengwa katika Kituo cha Kupoza Umeme cha Singida ambacho kimejengwa kupitia mradi wa umeme wa Singida-Namanga wa kV 400.