The United Republic of Tanzania
Ministry of Energy

Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhu...

Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia. JISAJILI SASA

Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.

Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kupitia tovuti:

https://www.cleancooking.co.tz