BUKOMBE YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA KISHINDO
Rais Samia aleta mapinduzi ya maendeleo GeitaRais Mstaafu Kikwete asema Watanzania wana deni kwa Rais Samia mwezi Oktoba Wanachama wa CCM waaswa kuzingatia maslahi ya ChamaDkt. Biteko apongezwa usimamizi wa miradi ya maendeleoRais Mstaafu wa Awamu ya...
KAMATI YA WATAALAM NISHATI SAFI YA KUPIKIA WAJADILI UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKI...
Kamati ya wataalam iliyoundwa na Maafisa Waandamizi kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa Mkakati wa Nishati safi ya Kupikia kitaifa imekutana kujadili utekelezaji wa mkakati huo wenye lengo la kuhakikisha a...
UTENDAJI KAZI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO WAMKWAZA DKT. BITEKO
Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mtejaAtaka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbelePURA, REA, EWURA zang'ara tathmini ya utendaji kazi Taasisi chini ya Wizara ya...
BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI SASA KASI INAHAMIA VITONGOJINI - MHE. KAPINGA
Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madiniNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamili...
AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE- MHE. KAPINGA
Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme LushotoVijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umemeNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ni azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na unaotabirika kwa ajili ya...
DKT.KAZUNGU AKAGUA VITUO VYA UMEME HALE, PANGANI NA NYUMBA YA MUNGU
Lengo ni kuhakikisha vinafanya kazi kwa ufanisiAtaka ukarabati wa mitambo Hale kumalizika kwa wakatiNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amemtaka Mkandarasi anayekarabati mitambo katika kituo cha kufua umeme Hale kufanya kazi...
DKT. KAZUNGU AKAGUA VITUO VYA UMEME NJIRO NA LEMUGURU- ARUSHA
Aipongeza TANESCO kwa kazi nzuriAsema kituo cha Lemuguru kitakuza biashara ya umeme na nchi jiraniNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu amekagua vituo vya umeme vya Lemuguru na Njiro mkoani Arusha na kuipongeza TANESCO kwa kazi...
DKT. BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA NISHATI WA VIONGOZI - AFRIKA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rock...
SERIKALI KUIMARISHA MAZINGIRA WEZESHI YA UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI - KAPINGA
TBS kujenga Maabara ya kupimaubora wa mafuta katika bandari ya TangaSerikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeahidi kuendelea kuweka mazingira wezeshi ili kuhakikisha kuwa bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafut...
UWEZO WA MITAMBO YA KUFUA UMEME WAFIKIA MEGAWATI 3,091.71- MHE.KAPINGA
Wateja wapya 109,918 waunganishiwa na huduma ya umeme nchiniKamati ya Bunge yaipongeza TANESCO kwa kuimarisha Miundombinu ya umemeSerikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katik...
WIZARA YA NISHATI YAWASILISHA UTEKELEZAJI WA BAJETI 2024/2025 KATIKA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NI...
Maeneo ya kipaumbele yaliyotekelezwa kwa mwaka 2024/2025 yaelezwaNi pamoja na hali ya uzalishaji na upatikanaji wa Nishati ya Umeme nchiniNaibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa...
WIZARA YA NISHATI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA BUNGE
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameiongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa ya Wizara hiyo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyowasilishwa Bungeni Mwezi Februari 2024Taarifa hiyo imewasili...
TANZANIA IPO TAYARI KUPOKEA WAKUU WA NCHI AFRIKA KATIKA MKUTANO WA NISHATI WA MISSION 300 -DKT.KAZU...
Aliambia Jukwaa la IRENA UAE kuwa Tanzania imejipanga vema kwa ujio huoAsema Tanzania imerekebisha sheria ya uwekezaji kuruhusu sekta binafsi kutekeleza miradiNchi wanachama IRENA wataka wabia wa maendeleo kuwekeza kwenye miradi ya nishati ambayo ni...
TUMEFIKIA MAKUNDI MENGI KAMPENI YA NISHATI SAFI- GAMBO
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameweka wazi mikakati yake ya kushirikisha makundi mbalimbali katika kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.Akizungumza Jumamosi, Januari 11, 2025, katika hafla maalumu ya uhamasishaji wa nishati safi kwa...
DIPLOMASIA YA RAIS SAMIA INAWALETA WAKUU WA NCHI AFRIKA KUSHIRIKI MKUTANO WA M300 -DKT. BITEKO
Asema mafanikio ya Sekta ya Nishati nayo yameibeba Tanzania Mkutano wa M300Vijiji vyote Tanzania vyafikishiwa umemeAtaja faida za Mkutano wa M300 nchini Imeelezwa kuwa Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afri...
DKT. BITEKO AAGIZA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO KUSUKWA UPYA
Akerwa na kusuasua kwa utendaji wa Kituo hichoAwataka watendaji kuondokana na kufanya kazi kwa mazoeaAhoji sababu za kutelekezwa kwa maelekezo yake ya 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha...
WIZARA YA NISHATI YAPOKEA MAGARI KUTOKA MRADI WA UMEME WA NYAKANAZI
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Bi Ziana Mlawa ameongoza Watendaji mbalimbalikupokea magari sita kutoka Mradi wa Usafirishaji wa Umeme Nyakanazi katika Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo Mtumba jijini Dodoma Leo Januari 0...
DKT. BITEKO AKAGUA UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU NA JENGO LA OFISI YA NISHATI MJI WA SERIKALI-MTUMB...
Aagiza ujenzi ukamilishwe harakaMajengo yakamilika kwa asilimia 88Wakandarasi waomba nyongezasiku 90Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kukagua maendeleo ya ujenzi...
DKT. KAZUNGU AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Asema ni chanzo kikubwa cha ukuaji wa uchumi nchiniApongeza kazi kubwa iliyofanyika katika mradi huoMradi wafikia asilimia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea mradi wa kufua Umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP)...
DKT. KAZUNGU AKAGUA MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA JNHPP HADI CHALINZE
Apongeza kazi kubwa iliyofanyika katika kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme nchini.Mradi wafikia asilimia 97.38Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka JNHPP hadi Chalinze n...