VIJIJI 192 VILIVYOBAKI MKOA WA LINDI KUFIKIWA NA UMEME
VIJIJI 192 VILIVYOBAKI MKOA WA LINDI KUFIKIWA NA UMEMENaibu Waziri wa Nishari Mhe. Wakili Stephen Byabato amesema, jumla ya vijiji 192 kati ya vijiji 524 vilivyopo mkoani Lindi,vinakwenda kupatiwa huduma ya umeme,baada ya kuzinduliwa kwa Mradi Kabamb...
BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2021/2022
http://www.nishati.go.tz/uploads/documents/en-1622628440-HOTUBA%20WAZIRI%20WA%20NISHATI%20MWAKA%202021_22%20(1).pdf
Wakandarasi wa mradi wa REA III mzunguko wa Pili watakiwa kwenda maeneo ya kazi
Na Teresia Mhagama, DodomaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amefanya kikao kazi na wakandarasi kutoka kampuni 34 waliopewa kazi na Serikali ya kusambaza umeme katika vijiji vyote ambavyo bado havina umeme kupitia mradi wa usambazaji umeme vijij...
Dkt. Kalemani asema Umeme wa JNHPP kuanza kutumika Juni 2022
Zuena Msuya, PwaniWaziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewaeleza watanzania kuwa mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere( JNHPP) utaanza kuzalisha Umeme utakaotumika katika gridi ya taifa kuanzia Mwezi Juni 2022 kwa kuwa hatua ya ujenzi ya maeneo m...
REA III mzunguko wa Pili na PERI URBAN kwa Kanda ya Kaskazini, yazinduliwa rasmi
Na Zuena Msuya, ArushaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu( REA III) mzunguko wa Pili na ule wa Usambazaji wa Umeme kwa Vijiji vilivyoko Pembezoni mwa Miji (PERI URBAN) kwa mikoa...