Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022
Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022Mradi mkubwa wa uzalishaji umeme kwa kutumia Jua wa kiasi cha megawati 150 utaanza kutekelezwa mwezi Novemba mwaka huu wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga na kuingizwa katika gridi ya Taifa.Hayo y...
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo Oktoba
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo OktobaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ameahidi kupeleka umeme kwenye migodi ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Wisolele ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa moja ya vipaumbe...
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya Ziwa
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya ZiwaImeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungu...
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati VijijiniSerikali imepanga kupeleka umeme katika migodi 336 nchini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa gharama ya takriban shilingi Bilioni Sita ili kazi za uchimbaji wa madini nchini zifanyike...
WAZIRI MAKAMBA ATATUA CHANGAMOTO YA UMEME SENGEREMA
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ametatua changamoto ya muda mrefu ya kutopata umeme wa uhakika wilayani Sengerema kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukatika kwa laini iliyokuwa ikipeleka umeme wilayani humo kutokea Mwanza ambako kulisababi...
MRAMBA: MWEZI AGOSTI 2022 TUNAWASHA UMEME WA GRIDI KIGOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amewahakikishia wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Mwezi wa Agosti mwaka huu, mkoa huo utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa.Mramba alisema hayo baada ya kukagua na kuona maendeleo ya ujenzi wa Ki...
UJENZI WA KIWANDA CHA KUWEKA PLASTIKI KATIKA MABOMBA YA CHUMA YA KUSAFIRISHA MAFUTA WAANZA
Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wamewataka watanzania kuchangamkia fursa zinazojitokeza wakati wa utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoim...
MRADI WA RUSUMO KUKAMILIKA NOVEMBA 2022, UJENZI WAFIKIA 95%
Mradi wa kuzalisha Umeme kwa kutumia nguvu ya maji ya Mto Kagera wa RUSUMO MW 80 utakamilika mwezi Novemba 2022 na kuanza kuzalisha Umeme utakaounganishwa na Gridi ya Taifa baada ya ujenzi wa mradi huo kukamilika kwa 95% hadi sasa.Hayo yameelezwa Kat...
SHILINGI BILIONI 75 KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME SIMIYU
SHILINGI BILIONI 75 KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME SIMIYUWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, ameeleza kuwa changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika mkoani Simiyu imefanyiwa kazi na Serikali na sasa mkoa huo umepelekewa mradi wa shilingi Bilio...
BEI YA UMEME KUTOKA MIRADI MIDOGO YA UMEME SASA NI SHILINGI 1600
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, amesema kuwa, shilingi 1600 itakuwa bei mpya ya umeme kwa unit katika miradi midogo ya umeme iliyo nje ya Gridi ambayo itaanza kutumika tarehe 1 Agosti, 2022 ili kufanya wananchi kupata umeme wa uhakika na waw...
Menejimenti ya Wizara ya Nishati yakagua maendeleo ya mradi wa JNHPP
Menejimenti ya Wizara ya Nishati yakagua maendeleo ya mradi wa JNHPPNa Zuena Msuya, PwaniWajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Nishati wamefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), na kusema kuwa wameridhis...
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa UingerezaNa Teresia MhagamaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na Balozi wa Masuala ya Mabadiliko ya Tab...
Byabato ashiriki kikao cha Mawaziri wa Nishati Afrika.
Byabato ashiriki kikao cha Mawaziri wa Nishati Afrika.Na Timotheo Mathayo, Dodoma.Naibu wa Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki kikao cha Mawaziri wa Sekta ya Miundombinu na Nishati wa nchini za Afrika.Kikao hicho kimefanyika Juni 16,...
YALIYOJIRI WAKATI WA HAFLA YA UWEKAJI SAINI MAKUBALIANO YA AWALI YA MKATABA WA NCHI HODHI WA MRAD...
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan*#Huu ni mradi mkubwa na wa kimkakati kwa nchi yetu, tumekuwa na miradi mingine ya kimkakati kwa miaka ya hivi karibuni lakini yote ni sisi tunatoa mitaji na kutumia miradi lakini mrad...
Wizara ya Nishati yaahidi ushirikiano kwa watengenezaji wa magari ya umeme
Wizara ya Nishati yaahidi ushirikiano kwa watengenezaji wa magari ya umemeNa Teresia Mhagama, ArushaNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali, amesema kuwa, Wizara ya Nishati itatoa ushirikiano kwa wabunifu pamoja na kampuni zinazotenge...
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati apongeza Watumishi Wizara na Taasisi kwa utekelezaji wa miradi
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati apongeza Watumishi Wizara na Taasisi kwa utekelezaji wa miradiNa Teresia Mhagama, DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amepongeza Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa kuendelea...
Tanzania, Zambia kushirikiana katika umeme, mafuta na gesi.
Tanzania, Zambia kushirikiana katika umeme, mafuta na gesi.Na Timotheo Mathayo, Dar es Salaam.Mawaziri wa Nishati kutoka Zambia na Tanzania wamekutana kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya sekta ya Nishati kati ya Nchi hizo mbili zenye historia ya ku...
KAULI YA WAZIRI WA NISHATI KWA BUNGE KUHUSU KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA NA HATUA ZINAZOCHUKULIWA KUSHU...
Mheshimiwa Spika, tarehe 05 Mei 2022, katika kikao cha kumi na sita (16) cha Mkutano wa Saba (7) wa Bunge la 12, Waheshimiwa Wabunge walijadili kuhusu ongezeko la bei ya mafuta nchini na kutoa maoni, ushauri na mapendekezo mbalimbali. Baada ya mjadal...
Makamba awahakikishia soko la ndani Wadau wa nguzo za umeme
Makamba awahakikishia soko la ndani Wadau wa nguzo za umemeØ Aunda Kamati maalum itakayowezesha upatikanaji wa nguzo zenyeubora zaidiNa Zuena Msuya, IringaWaziri wa Nishati, January Makamba amewatoa hofu wadau wanguzo za Miti za umemenchini kwa kuwah...
Megawati 200 za Jotoardhi kuzalishwa kabla ya mwaka 2025
Megawati 200 za Jotoardhi kuzalishwa kabla ya mwaka 2025Na Teresia Mhagama, MbeyaSerikali imesema kuwa, Tanzania itazalisha umeme wa kiasi cha megawati 200 zinazotokana na Jotoardhi kabla ya mwaka 2025.Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felch...