Tanzania kuendeleza vyanzo vya Nishati Jadidifu
Tanzania kuendeleza vyanzo vya Nishati JadidifuHafsa Omar-Dar es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania itaendelea kuendeleza vyanzo vya umeme wa Upepo na umeme wa Jua (solar) ili kuwa na vyanzo vingi vya uzalishaji wa umeme nchini...
Makamba : Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kuwa suluhisho la uharibifu wazingira
Makamba : Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kuwa suluhisho la uharibifu wazingiraHafsa Omar-Dar es Saalam Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa mradi wa kuboresha njia endelevu za matumizi ya Nishati safi ya kupikia utasaidia kulinda mazi...
Makamba azishukuru Norway, Sweden na Saud Arabia
Makamba azishukuru Norway, Sweden na Saud ArabiaHafsa Omar-Dar es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amezishukuru nchi za Norway, Sweden na Saud Arabia kwa mchango mkubwa unayoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya Nishati.Ameyasema hayo, N...
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Uganda
MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA UGANDAHafsa Omar-Dar Es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Balozi Richard Kabonero. Mazungumzo hayo, yamefanyika Novemba 15, 2021 katika ofisi nd...
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI MHE. JANUARY MAKAMBA WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI AKIELEZEA...
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATIMHE. JANUARY MAKAMBA WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI AKIELEZEA MAFANIKIO NA MAENDELEO YA SEKTA YA NISHATI KATIKAMIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARANdugu Wanahabari,Sekta ya Nishati ina historia ndefu kuanzia kipindi...
Kampuni ya CNOOC yasaini Mkataba wa Wanahisa wa EACOP
Kampuni ya CNOOC yasaini Mkataba wa Wanahisa wa EACOPHatua hii itawezesha Kampuni ya Mradi kuundwaKampala, UgandaKampuni ya Mafuta ya Taifa ya China (CNOOC) ambayo ni mmoja kati ya wanahisa wanne wanaotekeleza mradi wa EACOP, ametia saini mkataba wa...
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na TotalEnergies
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na TotalEnergiesWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo watendaji wa kampuni ya TotalEnergies ambayo hujishughulisha uzalishaji na uuzaji wa nishati ulimwenguni.Watendaji hao wakiongozwa...
TAASISI YA UTAFITI YATAKIWA KUISHIRIKISHA SERIKALI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali ameitaka Taasisi inayojishughulisha na utafiti ya (Natural Resource Governance Institute) kuishirikisha Serikali kwenye tafiti zinazohusu Serikali ili kuwa na usahihi wa takwimu zinazotolewa.Ameya...
WATALAAM KUTOKA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na wa kutoka katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wamefanya kikao cha Ushirikiano kwa ngazi ya wataalam.Kikao hicho cha Ushirikiano baina ya...
Waziri Makamba awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Serikali ya Algeria
Waziri Makamba awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Serikali ya AlgeriaAsisitiza juu ya ushirikiano katika Sekta ya NishatiAlgiers. Algeria,Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Algeria imezidi kufungua fursa za ushirikiano baina ya Tanza...
Waziri Makamba akutana na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria
Waziri Makamba akutana na Waziri wa Nishati na Madini wa AlgeriaAlgiers, AlgeriaWaziri wa Nishati, January Makamba tarehe 28 Oktoba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria, Mohamed Arkab. Katika mazungumzo hayo,...
ALIYOZUNGUMZA NAIBU WAZIRI WA NISHATI, STEPHEN BYABATO KATIKA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA LESENI YA UC...
ALIYOZUNGUMZA NAIBU WAZIRI WA NISHATI, STEPHEN BYABATO KATIKA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA LESENI YA UCHIMBAJI MKUBWA KWA KAMPUNI YA TEMBO NICKEL CORPORATION LTD NA UZINDUZI WA TAARIFA YA UHAMASISHAJI UWAZI NA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA YA MADINI, MAFUTA N...
Waziri Makamba akutana na ADNOC
Waziri Makamba akutana na ADNOCAbu Dhabi, Umoja wa Falme za KiarabuWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Abu Dhabi (ADNOC). Waziri Makamba amefanya kikao hicho tarehe 25 Oktoba 2021 na Mku...
WATANZANIA KUNUFAIKA NA MIRADI YA NISHATI
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa miradi yote inayotekelezwa na Wizara ya Nishati inawanufaisha watanzania wote kwa ujumla.Aliyasema hayo, Oktoba 25,2021,kwenye Warsha juu ya Sekta ya Uziduaj...
Waziri Makamba afanya ziara ya kikazi nchini Saudi Arabia
Waziri Makamba afanya ziara ya kikazi nchini Saudi ArabiaRiyadh, Saudi Arabia,Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amewasili nchini Saudi Arabia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kwa mualiko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia, Mhe Abdulaziz bin...
WAZIRI MAKAMBA AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA KWA RAIS WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU.
WAZIRI MAKAMBA AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA KWA RAIS WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU.__Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu_Waziri wa Nishati, January Makamba, amewasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano...
MAJADILIANO ‘HGA’ YANUKIA, WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA VIONGOZI EQUINOR
MAJADILIANO ‘HGA’ YANUKIA, WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA VIONGOZI EQUINORNa Janeth MesomapyaWaziri wa Nishati Mh. January Yusuf Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa kampuni ya utafutaji na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia ya Eq...
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZA KIARABU
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZA KIARABUWaziri wa Nishati, Mh. January Yusuf Makamba, leo Oktoba 18, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa mataifa ya Saudi Arabia, Qatar, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)...
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na Balozi wa Marekani na Uholanzi
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na Balozi wa Marekani na Uholanzi Ataja vipaumbeleWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald J.Wright pamoja na Balozi wa Uholanzi, Wiebe De Boer...
Waziri Makamba aanza kutekeleza agizo la Makamu wa Rais mkoani Kigoma
Waziri Makamba aanza kutekeleza agizo la Makamu wa Rais mkoani KigomaKigomaWaziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la kut...