BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA 16 WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA EAPP
BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA 16 WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA EAPPNaibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa 16 wa Mawaziri wanaohusika na Umeme kutoka nchi za Mashariki mwa Afrika ambazo zimeunganisha mifumo ya kusafiris...
Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) wakabidhi ruzuku ya Shilingi bilioni 3.21 kwa wasambaza...
Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) wakabidhi ruzuku ya Shilingi bilioni 3.21 kwa wasambazaji wa gesi ya mitungi Lengo ni kuchochea upatikanaji wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) Tanzania u...
MILANGO YA UWEKEZAJI NISHATI IPO WAZI- MAKAMBA
MILANGO YA UWEKEZAJI NISHATI IPO WAZI- MAKAMBAWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema Tanzania imeweka milango wazi kwenye uwekezaji wa Sekta ya Nishati kutokana na uwepo wa mahitaji makubwa ya nishati nchini.Waziri Makamba ameyasema hayo mkoa...
SERIKALI KUBADILI UTARATIBU WA KUTOA KAZI KWA WAKANDARASI WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
SERIKALI KUBADILI UTARATIBU WA KUTOA KAZI KWA WAKANDARASI WA MIRADI YA UMEME VIJIJINIVeronica Simba – Dar es SalaamWaziri wa Nishati, Mheshimiwa Januari Makamba amesema Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha utaratibu mzima wa kutoa kazi kwa Wak...
MAKATIBU WAKUU WASTAAFU WAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE
MAKATIBU WAKUU WASTAAFU WAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYEREREKatibu Mkuu Kiongozi, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Baraza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mha. Zena Ahmed Said amepongeza Wizara ya Nishati kwa kuwa...
Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia waongezeka
Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia waongezekaImeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifaumeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 mwezi Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAGHALA YA KUHIFADHI MAFUTA-MAKAMBA
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAGHALA YA KUHIFADHI MAFUTA-MAKAMBANa.Godfrey Mwemezi-DodomaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kupata wawekezaji watakaojenga Ghala kuu la kupokelea mafuta kw...
Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na Gesi
Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na GesiWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya U...
MIUNDOMBINU YA UMEME NCHINI IMEIMARIKA
MIUNDOMBINU YA UMEME NCHINI IMEIMARIKAWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme nchini imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wateja.Makamba ameyasema hayo...
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115umefikia asilimia 80.2.Naibu Wa...
RAIS SAMIA AFUNGA NJIA YA KUCHEPUSHA MAJI NA KUANZA UJAZAJI WA MAJI BWAWA LA JNHPP
RAIS SAMIA AFUNGA NJIA YA KUCHEPUSHA MAJI NA KUANZA UJAZAJI WA MAJI BWAWA LA JNHPPALIYOSEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN#Hili ni tukio muhimu la kihistoria na faraja nchini kwetu katika safari ya kukamilisha...
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2025
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2025Kauli hiyo imetolewa tarehe 19 Desemba, 2022 na Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akizungumza na Wakandarasi katika hafla ya...
Rais Samia kushuhudia ujazaji maji Bwawa Umeme la Julius Nyerere
Rais Samia kushuhudia ujazaji maji Bwawa Umeme la Julius NyerereWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amewaeleza watanzania kuwa, zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza tarehe 22 Desemba 2022 na ku...
TANZANIA, ZAMBIA WAKUTANA KUJADILI USALAMA BOMBA LA MAFUTA
TANZANIA, ZAMBIA WAKUTANA KUJADILI USALAMA BOMBA LA MAFUTAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, ameongoza ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakiwemo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Waziri wa Tawala za Mi...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor akutana na Waziri Makamba.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor akutana na Waziri Makamba.Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba tarehe 8 Disemba, 2022 amekutana na kufanya kikao na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor ya Norway, Bi. Nina Ko...
UCHIMBAJI GESI KITALU CHA RUVUMA UKAMILIKE KWA WAKATI-MAKAMBA
UCHIMBAJI GESI KITALU CHA RUVUMA UKAMILIKE KWA WAKATI-MAKAMBAWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), kuhakikisha mradi wa uchimb...
MAENEO YENYE UZALISHAJI YAPEWE KIPAUMBELE CHA UMEME-BYABATO
MAENEO YENYE UZALISHAJI YAPEWE KIPAUMBELE CHA UMEME-BYABATO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuyapatia kipaumbele cha umeme maeneo yenye shughuli za uzalishaji ili kutoathiri shughuli zao....
ULETAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA UNA TIJA-PAC
ULETAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA UNA TIJA-PACKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeeleza kuwa, kazi ya uletaji wa mafuta kwa pamoja nchini inayosimamiwa na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) ina tija kwa Taifa kutokana na s...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yapata elimu ya Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yapata elimu ya Uagizaji wa Mafuta kwa PamojaNa Ruben Richard Wajumbe wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wamepata elimu kuhusu shughuli za Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja zinazosimamiwa na Wakala...
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJI
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJINaibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili vis...