SERIKALI YAAHIDI KUANZA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA RUMAKALI.
SERIKALI YAAHIDI KUANZA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA RUMAKALI.Na Timotheo Mathayo, Dodoma.Serikali imeahidi kuanza ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Rumakali katika wilaya ya Makete mkoani Njombe utakaozalisha Megawati 222 baada ya kukamilika.Mrad...
GOVERNMENT STATEMENT AGAINST EUROPEAN UNION PARLIAMENT RESOLUTION ON EACOP PROJECT.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA...
WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KIWANDA CHA TRANSFOMA
WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KIWANDA CHA TRANSFOMAWaziri wa Nishati, January Makamba, Septemba 12, 2022 amezindua kiwanda cha kuzalisha transfoma ikiwa ni awamu ya pili ya kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme cha Elsewedy Electrica Industrial Complex kili...
Serikali kujenga Vituo vya Kupoza Umeme Katika Wilaya Zenye Uhitaji
Serikali kujenga Vituo vya Kupoza Umeme Katika Wilaya Zenye UhitajiSerikali imeendelea na mkakati wa kutekeleza Miradi ya kuimarisha huduma za upatikanaji wa umeme katika wilaya mbalimbali nchini Tanzania.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nisha...
SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*
SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo k...
*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANC...
*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA AFRIKA *Mhe. January Y. Makamba, Waziri wa Nishati amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutan...
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.Na Mwandishi WetuWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza na Singapore kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano baina ya nchi hizo...
WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMO
WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMONa Dorina Makaya - Rusumo, Kagera.Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, tarehe 20 Agosti, 2022, amekabidhiwa Uwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Mradi wa Umeme wa Rusumo utakaozalisha umeme kw...
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATIWaziri wa Nishati, Mhe..January Makamba amekutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani na kuzungumzia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika sekta ya mafuta na gesi h...
MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBAR
MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBARMheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, tarehe 10/8/2022 ameshuhudia makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na ge...
UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANA
UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANAWaziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 umefikia asilimia 67.Makamba alieleza hayo 8/8/2022, mbele y...
Milango iko wazi kuwekeza Zanzibar
Milango iko wazi kuwekeza ZanzibarSerikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema milango ya uwekezaji iko wazi kwa Wawekezaji, kuwekeza katika Sekta ya Nishati, hasa Mafuta na Gesi.Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Hemed Suleiman Abd...
Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidi
Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kuwa Serikali itaendelea kusimamia kikamilifu na kuimarisha zaidi Sekta ya Nishati nchini ili kuvutia...
Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na Makamba
Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na MakambaWaziri wa Nishati, Mhe Januari ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgawo wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 katika Wilaya ya Ludewa ambavyo vimekuwa vikipata umeme kutoka...
Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBA
Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi Trilioni 1.4 uliopo wilayani Maket...
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - Makamba
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - MakambaWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa peke yake bali kuchagiza pia shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa viwanda.Ame...
MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025
MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025 Kuimarisha upatikanaji umeme katika mikoa mitano nchini Imeelezwa kuwa, mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umemeyakV 400 kutoka Iringa-Tanzania hadi nchini Zambia (TAZA)...
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikia
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikiaWananchi mbalimbali katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameiomba Serikali kuwapatia nishati safi na salama ya kupikia ili waweze kufanya shughuli za kuwaingizia kipato ikiwemo ukaangaj...
Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022
Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022Ujenzi wa Kiwanda cha kuwekea mifumo ya upashwaji joto mafuta pamoja na plastiki itakayozuia upotevu wa joto kwenye mabomba yatakayotumika kwenye mradi wa Bomba la Mafuta...
Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMA
Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMANa Zuena Msuya, DSMSerikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji w...