TANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA ZA UWEKEZAJI WA MIRADI YA JOTOARDHI
“TANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA ZA UWEKEZAJI WA MIRADI YA JOTOARDHI”Tanzania itanufaika na Mpango wa kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya Jotoardhi na teknolojia za kisasa ili kuleta maendeleo endelevu. Mpango huo unatekelezwa na Shirika la Maendeleo...
MRADI WA KUFUA UMEME WA JNHPP KUINUA FURSA ZA KIUCHUMI NA UWEKEZAJI
MRADI WA KUFUA UMEME WA JNHPP KUINUA FURSA ZA KIUCHUMI NA UWEKEZAJIViongozi wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) wamesema Mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) una manufaa makubwa kwa Taifa, licha ya kuzalisha umeme pia utai...
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA SERIKALI KWA KUTEKELEZA MRADI WA KUZALISHA UMEME.
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA SERIKALI KWA KUTEKELEZA MRADI WA KUZALISHA UMEME.Viongozi wa Dini wameipongeza Serikali kwa usimamizi wa Mradi wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 kuanzia Juni, Mwaka 2024,...
BAKWATA YAOMBA SERIKALI KUTOA ELIMU KWA JAMII JUU YA MIRADI YA KIMKAKATI.
BAKWATA YAOMBA SERIKALI KUTOA ELIMU KWA JAMII JUU YA MIRADI YA KIMKAKATI.Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeiomba Serikali kutoa elimu ya kutosha kwa jamii ili kufahamu vema Miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini ukiwemo Mradi wa kuzali...
MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI
MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATIMakampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata...
Wakili Stephen Byabato ashiriki katika Mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki katika Mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe uliofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Julai 2023 ukiwajumuisha wajumbe wa Baraza la Mawaziri wanaotokana na Wizara za Kisekta...
Mradi wa umeme wa Tanzania na Kenya kuboresha huduma ya umeme Mikoa ya Kanda ya Kaskazini
Mradi wa umeme wa Tanzania na Kenya kuboresha huduma ya umeme Mikoa ya Kanda ya KaskaziniKatibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, mradi wa kimkakati wa umeme utakaounganisha Tanzania na Kenya kupitia kituo cha kupokea na...
KATIBU MKUU NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA IMF
KATIBU MKUU NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA IMFKatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nchini Tanzania, Jens Reinkena wate...
Mkataba wa kwanza wa uzalishaji umeme Jua (MW 50) wasainiwa
Mkataba wa kwanza wa uzalishaji umeme Jua (MW 50) wasainiwaWizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesaini mkataba wa kwanza wa uzalishaji wa umeme Jua wa kiasi cha megawati 50 utakaotekelezwa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga....
Wabunge wapata elimu ya Nishati Safi ya Kupikia
Wabunge wapata elimu ya Nishati Safi ya KupikiaWabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepata elimu kwa kina ya nishati safi ya kupikia ambayo imejumuisha pia Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia na Mpango Mkak...
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA PETROLI WA AFRIKA MASHARIKI KWA MAFANIKIO
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA PETROLI WA AFRIKA MASHARIKI KWA MAFANIKIOSerikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Nishati wameshiriki Maonesho na Mkutano wa Kumi (10) wa Petroli wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’23) ambapo Tanzania ilifani...
NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI - WAZIRI MKUU
NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI - WAZIRI MKUUWaziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa amesema kuwa, suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni moja ya vipaumbele vya nchi na kwamba Serikali inahakikisha kuwa uandaaji wa Dira na Mpa...
Rasimu ya Muundo wa Mfuko wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na Miongozo ya Nishati Safi ya Kupik...
Rasimu ya Muundo wa Mfuko wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na Miongozo ya Nishati Safi ya Kupikia yajadiliwa na Makatibu WakuuMakatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali zinazohusika na masuala ya Nishati Safi ya Kupikia wamefanya kikao ili kupitia ra...
Makamba akutana na Viongozi waandamiziwa Kampuni ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Pertamina ya nchini I...
Makamba akutana na Viongozi waandamiziwa Kampuni ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Pertamina ya nchini IndonesiaWaziri wa Nishati January Makamba amefanya mazungumzo na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania,Tri Yogo Jotmiko na Viongozi Waandamizi wa Kampuni...
TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO WA MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA
TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO WA MATUMIZI BORA YA GESI ASILIAWizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zak...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AONGOZA SEMINA KWA KAMATI YA WATAALAMU WA KIKUNDI KAZI CHA TAIFA CHA NISH...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AONGOZA SEMINA KWA KAMATI YA WATAALAMU WA KIKUNDI KAZI CHA TAIFA CHA NISHATI SAFI YA KUPIKIANaibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka ameongoza Semina kwa Kamati ya Wataalam ya Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati...
Kamati ya usimamizi JNHPP yakagua mradi.
Kamati ya usimamizi JNHPP yakagua mradi.Ujenzi wafikia asilimia 86.8Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) imekagua mradi huo na kutoa wito kwa watanzania kuendelea kuunga mkono utekelezaji wa mradi kwakuwa una faida ku...
Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNG
Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNGWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amekutana na Viongozi wa Kampuni zitakazotekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi ya Asilia (LNG).Makamba amekutana na viongozi hao ambao n...
Makatibu Wakuu wapitia maboresho ya rasimu Nishati Safi ya Kupikia
Makatibu Wakuu wapitia maboresho ya rasimu Nishati Safi ya KupikiaKikao cha Kamati ya Uongozi ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana kupitia maboresho yaliyofanywa katika rasimu ya Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2033...
Dkt. Yonazi aongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Nishati Safi ya Kupikia
Dkt. Yonazi aongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Nishati Safi ya KupikiaKatibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi ngazi ya Makatibu Wakuu kilicholenga kupitia utekelezaji wa mabor...