NAIBU WAZIRI MKUU AIELEKEZA REA KUTUMIA MUDA MWINGI VIJIJINI
NAIBU WAZIRI MKUU AIELEKEZA REA KUTUMIA MUDA MWINGI VIJIJININaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameiagiza Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumia muda mwingi zaidi wa kazi vijijini na muda mchache ofisini ili waend...
Tanzania yaunga mkono Ajenda ya AU 2063- Dkt Biteko.
Tanzania yaunga mkono Ajenda ya AU 2063- Dkt. Biteko.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono Ajenda ya Maendeleo ya Mwaka 2063 iliyowekwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika- AU ambayo in...
Serikali Kutumia Miezi 18 Kumaliza Adha ya Umeme Masasi
Serikali Kutumia Miezi 18 Kumaliza Adha ya Umeme MasasiSerikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo.Akizungumz...
Dkt. Biteko afanya ziara JNHPP
Dkt. Biteko afanya ziara JNHPP Asema changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya muda mfupiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaeleza watanzania kuwa changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya muda mfupi kwa sab...
Dkt. Biteko aipongeza Timu ya Serikali ya Majadiliano kuhusu mradi wa kuchakata na kusindika Gesi A...
Dkt. Biteko aipongeza Timu ya Serikali ya Majadiliano kuhusu mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (GNT)Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na Timu ya Serikali ya Majadiliano ya mradi wa kuchakata na kusindika Ges...
Balozi wa Marekani apongeza uteuzi wa Dkt. Biteko.
Balozi wa Marekani apongeza uteuzi wa Dkt. Biteko.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle, alipomtembelea leo, Septemba 13, 2023 kati...
TANESCO, Watanzania wanataka Umeme- Dkt. Biteko
TANESCO, Watanzania wanataka Umeme- Dkt. Biteko.*Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema watanzania wanataka umeme na hivyo kuwataka Viongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kufanya kila jitihada za ku...
Dkt.Biteko aiagiza Wizara ya Ardhi Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi kwa ufanisi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanyia kwa ufanisi majukumu yake ya msingi ambayo ni kupanga, kupima na kumilikisha ardhi ili kuondoa migogoro ya ardhi inayotokea nch...
Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Mradi wa JNHPP, asema watanzania wanahitaji umeme.
Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Mradi wa JNHPP, asema watanzania wanahitaji umeme. Ujenzi wafikia zaidi ya 90%Apongeza kazi kubwa iliyofanyika, awasisitiza wataalamu kukamilisha mradi kwa wakatiKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema...
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA UMEME- MHE. KAPINGA AELEZA
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA UMEME- MHE. KAPINGA AELEZANaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini inatekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili a...
DKT.BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA KIUTENDAJI WA MAAFISA USTAWI WA JAMII NCHINI
DKT.BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA KIUTENDAJI WA MAAFISA USTAWI WA JAMII NCHININaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa mwaka wa kiutendaji wa Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara za Kisekta, Taasisi za...
NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI APOKELEWA RASMI WIZARA YA NISHATI , AAMBATANA NA NAIBU WAZIRI...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga wamepokelewa rasmi na Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo jijini Dodoma baada ya...
REA YAWANEEMESHA WANANCHI KWA KUKAMILISHA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA
REA YAWANEEMESHA WANANCHI KWA KUKAMILISHA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARASerikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme kilichopo Ifakara (Ifakara Substation) na kuleta neema ya umeme wa uhakik...
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KASI YA UJENZI WA KIWANDA CHA MABOMBA MRADI WA EACOP
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KASI YA UJENZI WA KIWANDA CHA MABOMBA MRADI WA EACOPKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza kasi ya ujenzi wa kiwanda kitakachokuwa kikiweka mifumo ya upashaji jotona plastiki itakayozuia upotevu wa joto kw...
ZAIDI YA BILIONI 300 YAONGEZWA KATIKA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI.
ZAIDI YA BILIONI 300 YAONGEZWA KATIKA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI.Serikali imeongeza zaidi ya shilingi bilioni mia tatu katika mradi wa usambazaji umeme vijijini kufikia shilingi trillioni moja na billioni mia tano lengo ikiwa ni kuongeza kilomita...
MIUNDOMBINU YA KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME IMEIMARIKA NCHINI
MIUNDOMBINU YA KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME IMEIMARIKA NCHINIWaziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme nchini imeimarika na hivyo kuwezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wateja wanao...
MRADI WA GESI ASILIA UNALENGA KUZALISHA, KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI---Byabato
MRADI WA GESI ASILIA UNALENGA KUZALISHA, KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI---ByabatoWaziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia kuwa kimiminika unalenga kuzalisha, kuchakata na kusindika Gesi asilia iliyogu...
China kuendelea kushirikiana na Tanzania katika Sekta ya Nishati nchini.
China kuendelea kushirikiana na Tanzania katika Sekta ya Nishati nchini.Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kuwekeza katika kutekeleza miradi ya Sekta ya N...
Tanzania na Malawi wajadili mradi wa umeme Mto Songwe
Tanzania na Malawi wajadili mradi wa umeme Mto SongweKatibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, Serikali ya Tanzania na Malawi zimeanza majadiliano ili kuona uwezekano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporo...
WAZIRI MAKAMBA AWASIHI VIONGOZI KUWAELEZA UKWELI WANANCHI KUHUSU MCHAKATO WA UPATIKANAJI WA MAFUTA...
WAZIRI MAKAMBA AWASIHI VIONGOZI KUWAELEZA UKWELI WANANCHI KUHUSU MCHAKATO WA UPATIKANAJI WA MAFUTA NA GESI*Awataka Wazanzibari kuvuta Subira wakati Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanyia kazi utafutaji wa mafuta na Gesi.Waziri wa Nishati January Ma...