Visima vya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe
Visimavya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe Imeelezwa kuwa, Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) kuanzia mwezi Mei mwaka huu itaanza kuchoronga visima vifupi vya utafiti katika mradi wa Jotoardhi Songwe, vitakavyosaidia kupat...
Hakuna uhaba wa mafuta nchini -Waziri Makamba
Hakuna uhaba wa mafuta nchini -Waziri MakambaNa Janeth Mesomapya Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba amesema kuwa mafuta yaliyopo kwenye maghala, vituo vya mafuta pamoja na yale yanayoshushwa bandarini kwenye meli yanatosheleza mahitaji ya mafuta...
Naibu Katibu Mkuu Nishati, akagua eneo la upakuaji mafuta katika kina kirefu cha Bahari
Naibu Katibu Mkuu Nishati, akagua eneo la upakuaji mafuta katika kina kirefu cha BahariNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali amefanya ziara ya kushtukiza ya kukagua eneo la kupakua Mafuta kutoka kwenye Meli kuingia bandarini katika kin...
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia, wajadili maendeleo Sekta ya Nishati
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia, wajadili maendeleo Sekta ya NishatiNa Zuena Msuya DSM,Waziri wa Nishati January Makamba amekutana na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa benki hiyo kwa upande wa Tanzania...
WAZIRI MAKAMBA AELEZA MAFANIKIO YA SEKTA YA NISHATI NA MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA
WAZIRI MAKAMBA AELEZA MAFANIKIO YA SEKTA YA NISHATI NA MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTATeresia Mhagama na Zuena MsuyaWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ametaja mafanikio mbalimbali ya Sekta ya Nishati yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoo...
Mradi wa JNHPP wafikia asilimia 56
Mradi wa JNHPP wafikia asilimia 56 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yapongeza Waziri wa Nishati,January Makamba ameeleza kuwa, utekelezaji wa Mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2115, kwa s...
WIZARA YA NISHATI NA DP WORLD YA DUBAI ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO
WIZARA YA NISHATI NA DP WORLD YA DUBAI ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchi...
Naibu Waziri wa Nishati afanya ziara ya ukaguzi wa vituo vya kuzalisha umeme Ukerewe
Naibu Waziri wa Nishati afanya ziara ya ukaguzi wa vituo vya kuzalisha umeme UkereweNa Timotheo Mathayo, Ukerewe.Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amefanya ziara kukagua miradi ya umeme wa gridi ndogo (mini gridi) inayozalisha na kusamb...
Hati za makubaliano ya ushirikiano waMafuta na Gesi Asilia zasainiwa Zanzibar
Hati za makubaliano ya ushirikiano waMafuta na Gesi Asilia zasainiwa ZanzibarNa Teresia MhagamaHati za Makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia kwa Taasisi zinazoshughulika sektahiyo kutoka Tanzania Barana Zanzibar zimesainiwa...
Naibu waziri akerwa na kasi ndogo ujenzi wa kituo cha umeme
Naibu waziri akerwa na kasi ndogo ujenzi wa kituo cha umeme.Na Timotheo Mathayo, Morogoro.Naibu Waziri wa Nishati, Steven Byabato ametembelea ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme pamoja na laini mpya za kusambaza umeme kinachojengwa wilaya ya Ifaka...
Jamii yatakiwa kutunza mazingira kuzunguka mabwawa ya umeme.
Jamii yatakiwa kutunza mazingira kuzunguka mabwawa ya umeme.Na Timotheo Mathayo, Iringa.Jamii inayozunguka mradi wa bwawa la kufua umeme la Kihansi lililopo mkoani Iringa wametakiwa kulinda na kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu kwa manufaa...
TPDC, Baker Botts waingia mkataba majadiliano LNG
Na Janeth MesomapyaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Baker Botts (UK) LLP wamesaini Mkataba wa Huduma ya Ushauri wa Kitaalam na Kampuni ya Baker Botts (UK) LLP ya Uingere...
AfDB yatembelea Mradi wa Umeme wa Zuzu, yaipongeza Wizara ya Nishati
AfDB yatembelea Mradi wa Umeme wa Zuzu, yaipongeza Wizara ya NishatiMkurugenzi wa Maendeleo ya Benki ya Afrika nchini Tanzania, Amos Cheptoo ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kwa kusimamia...
KATIBU MKUU NISHATI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI NGAZI YA MAKATIBU WAKUU
KATIBU MKUU NISHATI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI NGAZI YA MAKATIBU WAKUUKatibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amefungua rasmi kikao kazi ngazi ya Makatibu Wakuu na wakuu wa Taasisi wadau, kuhusu usimamizi na matumizi ya rasilimali maji...
MINISTER MAKAMBA CALLS ON INDIA TO INVEST IN ENERGY SECTOR
MINISTER MAKAMBA CALLS ON INDIA TO INVEST IN ENERGY SECTOR By Janeth MesomapyaMinister of Energy, Hon. January Yusuph Makamba has called upon the Government of India and its local investors to visit Tanzania and explore and invest in opportunities av...
MRADI WA JNHPP KUTEKELEZWA KWA WELEDI, UFANISI, WAKATI NA GHARAMA ZILIZOPANGWA – WAZIRI MAKAMBA
Waziri wa Nishati Mhe. January Yusuf Makamba amesema Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP) unatekelezwa kwa weledi, ufanisi, wakati na gharama zilizopangwaWaziri Makamba ameyasema hayo tarehe 07 Novemba 2021, a...
MASHIRIKA YA KIGENI YAZIDI KUVUTIWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIA
MASHIRIKA YA KIGENI YAZIDI KUVUTIWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIAIdadi ya mashirika ya kigeni yanayovutiwa kuwekeza katika sekta ya Nishati nchini yameendelea kuongezeka ikiwemo katika sekta ndogo ya umeme na nishati Jadidifu. Waziri wa N...
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Angola nchini Tanzania
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Angola nchini Tanzania*Wajadili Maeneo ya UshirikianoWaziri wa Nishati Mhe. January Yusuf Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira kwa len...
Usambazaji Gesi majumbani iwe ni kipaumbele-PAC
Usambazaji Gesi majumbani iwe ni kipaumbele-PACKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, imetoa wito kwa Serikali kuwa, suala la usambazaji gesi majumbani liwe ni la kipaumbele.Wito huo umetolewa kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Nagh...
Waziri Makamba aanzisha Majadiliano Mradi wa LNG
Waziri Makamba aanzisha Majadiliano Mradi wa LNGWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaj...