KAPINGA ATUMIA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI SAUDI ARABIA KUNADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI
Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutanaJNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umemeNaibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara naWawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Ni...
BENKI YA DUNIA, SADC ZAMPONGEZA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO
Dkt. Biteko asema nia njema ya Rais Samia iungwe mkono kuleta maendeleo kwa WatanzaniaAmpongeza Mbunge Kiswaga kwa Utekelezaji wa Ilani ya UchaguziNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano w...
DKT. BITEKO ASEMA KAGERA BADO INA FURSA YA KUONGEZA UZALISHAJI WA KAHAWA
Dkt. Samia aweka historia kupandisha bei kahawa kutoka 1200 hadi 6,000 kwa kiloDkt. Biteko ampongeza Rais Samia kwa jitihada zake za kutatua changamoto za zao la kahawaHivi karibuni Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imesema kuwa imejipanga kushirikiana n...
WAWEKEZAJI WAKARIBISHWA KAGERA
Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndiziDkt. Biteko ahimiza uwekezaji viwanda vya kuongeza thamani mazao ya uvuvi na ufugajiKagera yaongoza kwa uzalishaji zao la ndizi nchini kwa asilimia 60Mradi wa Mashamba Makubwa ya Kahawa...
Dkt. Biteko apongeza Tamasha la Ijuka Omuka
Washiriki Waomba Kujengewa Uwanja Mpya wa Ndege BukobaDkt. Biteko Apongeza Wawekezaji Kagera Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa kwa maandalizi mazuri ya Kongamano la Uw...
KAPINGA ATUMIA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI SAUDI ARABIA KUNADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI
Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutanaJNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umemeNaibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara naWawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Ni...
TUWAINUE WABUNIFU WAZAWA KUWANADI KIMATAIFA - DKT. BITEKO
Asisitiza Mifumo iboreshwe kuakisi Maendeleo Serikali kuweka Mazingira wezeshi kwa wadau wa STARTUPs Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za kuwainua wabunifu wawekezaji nchini, bado kuna umu...
KUWENI BARAKA,SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO
Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- MagomeniAtaka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizanaAhimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleoNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuje...
HISTORIA NYINGINE YAANDIKWA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP)
Dkt.Biteko azindua mradi wa usafirishaji umeme (kV 400) Chalinze-Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme Chalinze na ZuzuKuwezesha umeme kutoka JNHPP kufika Kanda mbalimbali za Tanzania, Migodi ,Viwanda, Kusini na Mashariki mwa Afrika Asema Tanzania in...
UDSM MARATHON KUBORESHA MAISHA YA WANAFUNZI
Dkt. Biteko Ahimiza Wadau Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha WanafunziAwashukuru Wadhamini wa UDSM MarathonNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza amefurahishwa kwake na uendeshaji wa UDSM Marathon na kusema kuwa inasaidia k...
SERIKALI BEGA KWA BEGA NA WAFANYABIASHARA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
Rais Samia Apongezwa Kuifungua Nchi KiuchumiDkt. Biteko Awahimiza Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Maendeleo ya Nchi TCCIA Yaendelea Kuwa Daraja la Wafanyabiashara wa Tanzania, Yafungua Ofisi China, London na UturukiSerikali Yapongezwa Kwa Kuwekeza Kw...
BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA JIJINI ARUSHA
Bajeti ya Wizara 2024/2025 na Majukumu ya Wizara kujadiliwa kwa kinaDkt.Kazungu afungua MkutanoAsema stahiki za kisheria za Watumishi zinapewa kipaumbele TUGHE yapongeza ushirikiano uliopo kati ya Menejimenti na WafanyakaziBaraza la Wafanyakazi la Wi...
Nchi za EAC na SADC zaazimia kuendeleza Teknolojia za Matumizi Bora ya Nishati
Ni katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya NishatiDkt. Jafo asema maendeleo ya Viwanda yanategemea uwepo wa Nishati ya kutoshaMkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati uliohusisha Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumu...
WAHASIBU AFRIKA WAASWA KUSIMAMIA UKWELI WA TAALUMA YAO
Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAGAsema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wakeAsisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu AfrikaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu bara...
SUALA LA MATUMIZI BORA YA NISHATI LIWE KWENYE MIPANGO YETU YA SERIKALI –DKT.BITEKO
Nia ni kuhakikisha Bara la Afrika linatumia nishati kwa ufanisi na kupunguza upotevu wa umemeAfungua Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024)Azindua Mkakati wa kwanza wa Kitaifa wa Matumizi Bora ya NishatiUNDP, WB na EU zatoa pongez...
DKT. BITEKO ATAKA WATAFITI, WABUNIFU NDANI YA NCHI WATAMBULIWE KULETA MAENDELEO
Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyoAzindua Mfuko wa mikopo nafuu “SAMIA FUND”Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tijaAzindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana UbunifuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bitek...
SERIKALI YASEMA UNYANYASAJI DHIDI YA WENYE ULEMAVU SASA BASI
Dkt. Biteko asema Serikali itakula Sahani moja na wanyanyasajiwa wenye ulemavuWakuu wa Mikoa waagizwa kusimamia mpango wa taifa haki na Ustawi kwa wenye ulemavuHalmashauri zatakiwa kutenga Bajenti ununuzi wa teknolojia saidizi kwa wenye ulemavuNaibu...
KAPINGA AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Baada ya Namtumbo, aingia Mbinga VijijiniAtaka Wananchikujitokeza kwa wingi Novemba 27, 2024Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbal...
DKT. BITEKO AHIMIZA WATANZANIA KUPIGA KURA NOVEMBA 27, 2024
Asisitiza Kupiga Kura ni Haki ya KikatibaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BitekoamewahimizaWatanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25, 2024 akiwa...
KASI YA MAENDELEO DAR ES SALAAM INACHANGIA ONGEZEKO LA MAHITAJI YA UMEME- MHE. KAPINGA
Serikali yajikita kufanya maboresho ya miundombinu ya umeme kukidhi mahitajiKituo umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; chafungwa Transfoma za MVA 175Zanzibar kunufaika na maboresho hayoNaibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi...